Category Archives: SaRoCe

FURSA ZA ELIMU NA MAFUNZO KWA MWAKA 2018

St. Rock College of Early Education, Korogwe

FURSA ZA ELIMU NA MAFUNZO KWA MWAKA 2018

Nafasi za kujiunga katika chuo na shule zake za mazoezi: Hills View Eng. Med. P/S, Hill View Sec. School ziko wazi. Waombaji wajaze fomu na kuzirejesha kwa Msajili Mkuu   S.L.P 404, Korogwe au kwa Email: saroce2013@gmail.com;  pamoja na ‘Original Pay in Slip’ ya Tshs 10,000/= iliyolipwa kwa mmiliki       Rock Memorial Education Trust, Acs. 41503500031 NMB au 01J1098887200 CRDB pamoja na fomu (J) iliyoambatanishwa.

 

Na.

 

Namba ya Msimbo

 

Ngazi

 

Sifa

 

Muda

Miaka

Gharama Chaguo

Kutwa Bweni Kutwa Bweni
1 BC18001 Baby Class Umri 2+ 1 120,000/= 720,000/=  

 

2 NC18002 Nursery

 

umri 3 + 1 240,000/= 950,000/=
3 PS18003 Pre – School Umri 5+ 1 300,000/= 990,000/=

 

4 PC18004 Std. I – VII

 

Umri 6+ 7 900,000/= 1,200,000/=
5 HV180001

 

F. I 4 500,000/= 1,500,000/=
6 HV180002 F.  II 3 500,000/= 1,500,000/=  

 

7 HV180003

 

F. III 2 500,000/= 1,500,000/=

 

8 HV 180004 F.IV 1 500,000/= 1,500,000/=
9 SR/MQT Maarifa (QT)

 

Ex.Std VII 2 480,000/= 845,000/=
10 SR/MQT Marudio F. IV F. IV 1 480,000/=

 

845,000/=
11 SR/BTC/EA Certificate F.IV (26 – 28) 3 845,000/= / 1,085,000/=  

 

12 SR/BE Basic Eng. Skills 3 m 75,000/= 150,000/=  

 

13 SR/CS Computer Skills 3 m 75,000/= 150,000/=  

 

14. SR/BTC/ICCG Infant  & Child Care Guardian F.IV (26-30) 1 NIL 845,000/=
15 SR/BTC/EA/P Certificate F.IV (I – III) 2 NIL 1,085,000/=  

 

16 SR/G Astashahada F.IV (I – III) 615,000/= 1,085,000/=  

 

 

NB: Chagua kozi kwa kuiwekea alama ya vema (√) na uirejeshe fomu iliyoambatanishwa.