TANGAZO JIPYA

  1. ROCK COLLEGE OF

EARLY      EDUCATION

MSAMBIAZI, KOROGWE

Ni chuo kilichobobea katika makuzi, malezi na maendeleo jumui ya mtoto na jinsi anavyojifunza tangu mimba. Kwa  utajiri wa fursa zake za elimu na mafunzo, tembelea www.rmet.ac.tz au ulizia 0716683808,0714989845,0717356283, 0784808420

 

Tangazo la mafunzo

St Rock College of Early Education, Msambiazi-Korogwe

(Chuo cha Elimu ya Awali cha Mt. Rock, Kwamgoma)

Kinawatangazia Nafasi za Masomo katika kozi zifuatazo:

  • Ualimu Elimu ya awali ( English Medium Schools)
  • Malezi na makuzi ya mtoto ‘’Infant and Child Care Guardian” (Matron)
  • Ualimu Elimu ya Msingi
  • Lugha ya Kingereza
  • mafunzo ya Kompyuta na
  • Muziki

Pia chuo kinakaribisha wanaorudia mitihani(Resitters) na QT

(HKL, HGK, HGL, HGE, PCB, PCM, PGM)

Masomo yataanza March 2018

Fomu za kujiunga zipatikana:

Hills View Primary School,

Hill View Secondary School na

 St Rock College of Early Education

 

Kwa Maelezo zaidi 0754247326, 0716683808, 0625438454, 0714901004

 

FURSA ZA ELIMU NA MAFUNZO KWA MWAKA 2018

St. Rock College of Early Education, Korogwe

FURSA ZA ELIMU NA MAFUNZO KWA MWAKA 2018

Nafasi za kujiunga katika chuo na shule zake za mazoezi: Hills View Eng. Med. P/S, Hill View Sec. School ziko wazi. Waombaji wajaze fomu na kuzirejesha kwa Msajili Mkuu   S.L.P 404, Korogwe au kwa Email: saroce2013@gmail.com;  pamoja na ‘Original Pay in Slip’ ya Tshs 10,000/= iliyolipwa kwa mmiliki       Rock Memorial Education Trust, Acs. 41503500031 NMB au 01J1098887200 CRDB pamoja na fomu (J) iliyoambatanishwa.

 

Na.

 

Namba ya Msimbo

 

Ngazi

 

Sifa

 

Muda

Miaka

Gharama Chaguo

Kutwa Bweni Kutwa Bweni
1 BC18001 Baby Class Umri 2+ 1 120,000/= 720,000/=  

 

2 NC18002 Nursery

 

umri 3 + 1 240,000/= 950,000/=
3 PS18003 Pre – School Umri 5+ 1 300,000/= 990,000/=

 

4 PC18004 Std. I – VII

 

Umri 6+ 7 900,000/= 1,200,000/=
5 HV180001

 

F. I 4 500,000/= 1,500,000/=
6 HV180002 F.  II 3 500,000/= 1,500,000/=  

 

7 HV180003

 

F. III 2 500,000/= 1,500,000/=

 

8 HV 180004 F.IV 1 500,000/= 1,500,000/=
9 SR/MQT Maarifa (QT)

 

Ex.Std VII 2 480,000/= 845,000/=
10 SR/MQT Marudio F. IV F. IV 1 480,000/=

 

845,000/=
11 SR/BTC/EA Certificate F.IV (26 – 28) 3 845,000/= / 1,085,000/=  

 

12 SR/BE Basic Eng. Skills 3 m 75,000/= 150,000/=  

 

13 SR/CS Computer Skills 3 m 75,000/= 150,000/=  

 

14. SR/BTC/ICCG Infant  & Child Care Guardian F.IV (26-30) 1 NIL 845,000/=
15 SR/BTC/EA/P Certificate F.IV (I – III) 2 NIL 1,085,000/=  

 

16 SR/G Astashahada F.IV (I – III) 615,000/= 1,085,000/=  

 

 

NB: Chagua kozi kwa kuiwekea alama ya vema (√) na uirejeshe fomu iliyoambatanishwa.

Love, Encouragement, Active Involvement and Sharing